Waefeso 5:12
Ephesians 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini.
Ephesians 5:12 in English
Ephesians 5:12 · Berean Standard Bible
For it is shameful even to mention what the disobedient do in secret.
Context
10nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. 12Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. 13Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana, 14kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana:
“Amka, wewe uliyelala,
ufufuke kutoka kwa wafu,
naye Kristo atakuangazia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.