Native Bible

Ephesians 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

Ephesians 5:11 in English

Ephesians 5:11 · Berean Standard Bible

Have no fellowship with the fruitless deeds of darkness, but rather expose them.

Context

9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. 12Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. 13Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.