Native Bible

Ephesians 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),

Ephesians 5:9 in English

Ephesians 5:9 · Berean Standard Bible

for the fruit of the light consists in all goodness, righteousness, and truth.

Context

7Kwa hiyo, msishirikiane nao. 8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.