Native Bible

Ephesians 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru

Ephesians 5:8 in English

Ephesians 5:8 · Berean Standard Bible

For you were once darkness, but now you are light in the Lord. Walk as children of light,

Context

6Mtu yeyote na asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya wale wasiomtii. 7Kwa hiyo, msishirikiane nao. 8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.