Waefeso 5:7
Ephesians 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo, msishirikiane nao.
Ephesians 5:7 in English
Ephesians 5:7 · Berean Standard Bible
Therefore do not be partakers with them.
Context
5Kwa habari ya mambo haya mjue hakika kwamba: Msherati, wala mtu mwovu, wala mwenye tamaa mbaya, mtu kama huyo ni mwabudu sanamu, kamwe hataurithi Ufalme wa Kristo na wa Mungu. 6Mtu yeyote na asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya wale wasiomtii. 7Kwa hiyo, msishirikiane nao. 8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.