Waefeso 5:13
Ephesians 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,
Ephesians 5:13 in English
Ephesians 5:13 · Berean Standard Bible
But everything exposed by the light becomes visible,* for everything that is illuminated becomes a light itself.
Context
11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. 12Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. 13Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana, 14kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana:
“Amka, wewe uliyelala,
ufufuke kutoka kwa wafu,
naye Kristo atakuangazia.” 15Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.