Native Bible

Ephesians 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima,

Ephesians 5:15 in English

Ephesians 5:15 · Berean Standard Bible

Pay careful attention, then, to how you walk, not as unwise but as wise,

Context

13Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana, 14kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: “Amka, wewe uliyelala, ufufuke kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangazia.” 15Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, 16mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu. 17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.