Waefeso 5:16
Ephesians 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.
Ephesians 5:16 in English
Ephesians 5:16 · Berean Standard Bible
redeeming the time, because the days are evil.
Context
14kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana:
“Amka, wewe uliyelala,
ufufuke kutoka kwa wafu,
naye Kristo atakuangazia.” 15Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, 16mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu. 17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana. 18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.