Native Bible

Ecclesiastes 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa.

Ecclesiastes 10:7 in English

Ecclesiastes 10:7 · Berean Standard Bible

I have seen slaves on horseback, while princes go on foot like slaves.

Context

5Kuna ubaya niliouona chini ya jua, aina ya kosa litokalo kwa mtawala: 6Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, wakati matajiri hushika nafasi za chini. 7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. 8Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka. 9Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.