Native Bible

Ecclesiastes 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, wakati matajiri hushika nafasi za chini.

Ecclesiastes 10:6 in English

Ecclesiastes 10:6 · Berean Standard Bible

Folly is appointed to great heights, but the rich sit in lowly positions.

Context

4Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi. 5Kuna ubaya niliouona chini ya jua, aina ya kosa litokalo kwa mtawala: 6Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, wakati matajiri hushika nafasi za chini. 7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. 8Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.