Mhubiri 10:8
Ecclesiastes 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka.
Ecclesiastes 10:8 in English
Ecclesiastes 10:8 · Berean Standard Bible
He who digs a pit may fall into it, and he who breaches a wall may be bitten by a snake.
Context
6Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu,
wakati matajiri hushika nafasi za chini. 7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi,
wakati wakuu wakitembea
kwa miguu kama watumwa. 8Yeye achimbaye shimo
aweza kutumbukia ndani yake,
yeyote abomoaye ukuta
anaweza kuumwa na nyoka. 9Yeyote apasuaye mawe
inawezekana yakamuumiza,
yeyote apasuaye magogo
inawezekana yakamuumiza. 10Kama shoka ni butu
na halikunolewa,
nguvu nyingi zinahitajika,
lakini ustadi utaleta mafanikio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.