Native Bible

Ecclesiastes 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza.

Ecclesiastes 10:9 in English

Ecclesiastes 10:9 · Berean Standard Bible

The one who quarries stones may be injured by them, and he who splits logs endangers himself.

Context

7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa. 8Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka. 9Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. 10Kama shoka ni butu na halikunolewa, nguvu nyingi zinahitajika, lakini ustadi utaleta mafanikio. 11Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.