Native Bible

Ecclesiastes 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena.

Ecclesiastes 10:11 in English

Ecclesiastes 10:11 · Berean Standard Bible

If the snake bites before it is charmed, there is no profit for the charmer.

Context

9Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. 10Kama shoka ni butu na halikunolewa, nguvu nyingi zinahitajika, lakini ustadi utaleta mafanikio. 11Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena. 12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima yana neema, bali mpumbavu huangamizwa na midomo yake mwenyewe. 13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, mwishoni ni wazimu mbaya,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.