Mhubiri 10:13
Ecclesiastes 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, mwishoni ni wazimu mbaya,
Ecclesiastes 10:13 in English
Ecclesiastes 10:13 · Berean Standard Bible
The beginning of his talk is folly, and the end of his speech is evil madness.
Context
11Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi,
mwaguzi hatahitajika tena. 12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima
yana neema,
bali mpumbavu huangamizwa
na midomo yake mwenyewe. 13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu,
mwishoni ni wazimu mbaya, 14naye mpumbavu huzidisha maneno.
Hakuna yeyote ajuaye linalokuja,
ni nani awezaye kueleza ni jambo gani
litakalotokea baada yake? 15Kazi ya mpumbavu humchosha mwenyewe,
hajui njia iendayo mjini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.