Mhubiri 10:14
Ecclesiastes 10:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna yeyote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?
Ecclesiastes 10:14 in English
Ecclesiastes 10:14 · Berean Standard Bible
Yet the fool multiplies words. No one knows what is coming, and who can tell him what will come after him?
Context
12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima
yana neema,
bali mpumbavu huangamizwa
na midomo yake mwenyewe. 13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu,
mwishoni ni wazimu mbaya, 14naye mpumbavu huzidisha maneno.
Hakuna yeyote ajuaye linalokuja,
ni nani awezaye kueleza ni jambo gani
litakalotokea baada yake? 15Kazi ya mpumbavu humchosha mwenyewe,
hajui njia iendayo mjini. 16Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa
na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.