Mhubiri 10:16
Ecclesiastes 10:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
Ecclesiastes 10:16 in English
Ecclesiastes 10:16 · Berean Standard Bible
Woe to you, O land whose king is a youth,* and whose princes feast in the morning.
Context
14naye mpumbavu huzidisha maneno.
Hakuna yeyote ajuaye linalokuja,
ni nani awezaye kueleza ni jambo gani
litakalotokea baada yake? 15Kazi ya mpumbavu humchosha mwenyewe,
hajui njia iendayo mjini. 16Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa
na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. 17Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika
na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa:
ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. 18Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama,
kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.