Native Bible

Ecclesiastes 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima yana neema, bali mpumbavu huangamizwa na midomo yake mwenyewe.

Ecclesiastes 10:12 in English

Ecclesiastes 10:12 · Berean Standard Bible

The words of a wise man’s mouth are gracious, but the lips of a fool consume him.

Context

10Kama shoka ni butu na halikunolewa, nguvu nyingi zinahitajika, lakini ustadi utaleta mafanikio. 11Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, mwaguzi hatahitajika tena. 12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima yana neema, bali mpumbavu huangamizwa na midomo yake mwenyewe. 13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, mwishoni ni wazimu mbaya, 14naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna yeyote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.