Native Bible

Deuteronomy 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.

Deuteronomy 5:2 in English

Deuteronomy 5:2 · Berean Standard Bible

The LORD our God made a covenant with us at Horeb.*

Context

1Mose akawaita Israeli wote, akawaambia: Ee Israeli, sikilizeni amri na sheria ninazowatangazia leo. Jifunzeni, na mwe na hakika kuzifuata. 2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo. 4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.