Kumbukumbu 5:1
Deuteronomy 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose akawaita Israeli wote, akawaambia: Ee Israeli, sikilizeni amri na sheria ninazowatangazia leo. Jifunzeni, na mwe na hakika kuzifuata.
Deuteronomy 5:1 in English
Deuteronomy 5:1 · Berean Standard Bible
Then Moses summoned all Israel and said to them:* Hear, O Israel, the statutes and ordinances that I declare in your hearing this day. Learn them and observe them carefully.
Context
1Mose akawaita Israeli wote, akawaambia:
Ee Israeli, sikilizeni amri na sheria ninazowatangazia leo. Jifunzeni, na mwe na hakika kuzifuata. 2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.