Kumbukumbu 5:4
Deuteronomy 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Deuteronomy 5:4 in English
Deuteronomy 5:4 · Berean Standard Bible
The LORD spoke with you face to face out of the fire on the mountain.
Context
2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo. 4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima. 5(Wakati huo nilisimama kati ya Bwana na ninyi kuwatangazia neno la Bwana, kwa sababu mliogopa ule moto, nanyi hamkupanda mlimani.) Naye Mungu alisema: 6“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.