Kumbukumbu 5:6
Deuteronomy 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Deuteronomy 5:6 in English
Deuteronomy 5:6 · Berean Standard Bible
“I am the LORD your God, who brought you out of the land of Egypt, out of the house of slavery.
Context
4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima. 5(Wakati huo nilisimama kati ya Bwana na ninyi kuwatangazia neno la Bwana, kwa sababu mliogopa ule moto, nanyi hamkupanda mlimani.) Naye Mungu alisema: 6“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. 7Usiwe na miungu mingine ila mimi. 8Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.