Kumbukumbu 5:7
Deuteronomy 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Deuteronomy 5:7 in English
Deuteronomy 5:7 · Berean Standard Bible
You shall have no other gods before Me.*
Context
5(Wakati huo nilisimama kati ya Bwana na ninyi kuwatangazia neno la Bwana, kwa sababu mliogopa ule moto, nanyi hamkupanda mlimani.) Naye Mungu alisema: 6“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. 7Usiwe na miungu mingine ila mimi. 8Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji. 9Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.