Native Bible

Deuteronomy 33:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuhusu Dani akasema: “Dani ni mwana simba, akiruka kutoka Bashani.”

Deuteronomy 33:22 in English

Deuteronomy 33:22 · Berean Standard Bible

Concerning Dan he said: “Dan is a lion’s cub, leaping out of Bashan.”

Context

20Kuhusu Gadi akasema: “Atabarikiwa yeye aongezaye milki ya Gadi! Gadi huishi huko kama simba, akirarua kwenye mkono au kichwa. 21Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote kwa ajili yake mwenyewe; fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa kwa ajili yake. Viongozi wa watu walipokusanyika, alitimiza haki ya mapenzi ya Bwana, na hukumu zake kuhusu Israeli.” 22Kuhusu Dani akasema: “Dani ni mwana simba, akiruka kutoka Bashani.” 23Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa Bwana, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.” 24Kuhusu Asheri akasema: “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.