Native Bible

Deuteronomy 32:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.”

Deuteronomy 32:42 in English

Deuteronomy 32:42 · Berean Standard Bible

I will make My arrows drunk with blood, while My sword devours flesh— the blood of the slain and captives, the heads of the enemy leaders.”

Context

40Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: Hakika kama niishivyo milele, 41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, nitalipiza kisasi juu ya adui zangu na kuwalipiza wale wanaonichukia. 42Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.” 43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, atalipiza kisasi juu ya adui zake na kufanya upatanisho kwa ajili ya nchi na watu wake. 44Mose na Yoshua* mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.