Native Bible

Deuteronomy 32:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose na Yoshua* mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

Deuteronomy 32:44 in English

Deuteronomy 32:44 · Berean Standard Bible

Then Moses came with Joshua * son of Nun and recited all the words of this song in the hearing of the people.

Context

42Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.” 43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, atalipiza kisasi juu ya adui zake na kufanya upatanisho kwa ajili ya nchi na watu wake. 44Mose na Yoshua* mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia. 45Mose alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote, 46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.