Kumbukumbu 32:43
Deuteronomy 32:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, atalipiza kisasi juu ya adui zake na kufanya upatanisho kwa ajili ya nchi na watu wake.
Deuteronomy 32:43 in English
Deuteronomy 32:43 · Berean Standard Bible
Rejoice, O heavens, with Him, and let all God’s angels worship Him. * Rejoice, O nations, with His people;* for He will avenge the blood of His children.* He will take vengeance on His adversaries and repay those who hate Him;* He will cleanse His land and His people.
Context
41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta
na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu,
nitalipiza kisasi juu ya adui zangu
na kuwalipiza wale wanaonichukia. 42Nitailevya mishale yangu kwa damu,
wakati upanga wangu ukitafuna nyama:
damu ya waliochinjwa pamoja na mateka,
vichwa vya viongozi wa adui.” 43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake,
kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake,
atalipiza kisasi juu ya adui zake
na kufanya upatanisho
kwa ajili ya nchi na watu wake. 44Mose na Yoshua* mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia. 45Mose alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.