Native Bible

Deuteronomy 32:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.”

Deuteronomy 32:35 in English

Deuteronomy 32:35 · Berean Standard Bible

Vengeance is Mine; I will repay.* In due time their foot will slip; for their day of disaster is near, and their doom is coming quickly.”

Context

33Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila. 34“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.” 36Bwana atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru. 37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.