Native Bible

Deuteronomy 32:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila.

Deuteronomy 32:33 in English

Deuteronomy 32:33 · Berean Standard Bible

Their wine is the venom of serpents, the deadly poison of cobras.

Context

31Kwa kuwa mwamba wao si kama Mwamba wetu, sawasawa na vile adui zetu wanavyokiri. 32Mzabibu wao unatoka kwenye mzabibu wa Sodoma, na kutoka kwenye mashamba ya Gomora. Zabibu zake zimejaa sumu, na vishada vyake vimejaa uchungu. 33Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila. 34“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.