Native Bible

Deuteronomy 32:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina?

Deuteronomy 32:34 in English

Deuteronomy 32:34 · Berean Standard Bible

“Have I not stored up these things, sealed up within My vaults?

Context

32Mzabibu wao unatoka kwenye mzabibu wa Sodoma, na kutoka kwenye mashamba ya Gomora. Zabibu zake zimejaa sumu, na vishada vyake vimejaa uchungu. 33Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila. 34“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.” 36Bwana atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.