Native Bible

Deuteronomy 32:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru.

Deuteronomy 32:36 in English

Deuteronomy 32:36 · Berean Standard Bible

For the LORD will vindicate His people * and have compassion on His servants when He sees that their strength is gone and no one remains, slave or free.

Context

34“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.” 36Bwana atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru. 37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia, 38miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? Wainuke basi, wawasaidie! Wawapeni basi ulinzi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.