Native Bible

Deuteronomy 32:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia,

Deuteronomy 32:37 in English

Deuteronomy 32:37 · Berean Standard Bible

He will say: “Where are their gods, the rock in which they took refuge,

Context

35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.” 36Bwana atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru. 37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia, 38miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? Wainuke basi, wawasaidie! Wawapeni basi ulinzi! 39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! Hakuna mungu mwingine ila Mimi. Mimi ninaua na Mimi ninafufua, Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.