Native Bible

Deuteronomy 32:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini nilihofia dhihaka za adui, adui asije akashindwa kuelewa, na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; Bwana hakufanya yote haya.’ ”

Deuteronomy 32:27 in English

Deuteronomy 32:27 · Berean Standard Bible

if I had not dreaded the taunt of the enemy, lest their adversaries misunderstand and say: ‘Our own hand has prevailed; it was not the LORD who did all this.’”

Context

25Barabarani upanga utawakosesha watoto; nyumbani mwao hofu itatawala. Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, pia watoto wachanga na wazee wenye mvi. 26Nilisema ningewatawanya na kufuta kumbukumbu lao katika mwanadamu. 27Lakini nilihofia dhihaka za adui, adui asije akashindwa kuelewa, na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; Bwana hakufanya yote haya.’ ” 28Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao. 29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, na kutambua mwisho wao utakuwa aje!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.