Native Bible

Deuteronomy 32:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao.

Deuteronomy 32:28 in English

Deuteronomy 32:28 · Berean Standard Bible

Israel is a nation devoid of counsel, with no understanding among them.

Context

26Nilisema ningewatawanya na kufuta kumbukumbu lao katika mwanadamu. 27Lakini nilihofia dhihaka za adui, adui asije akashindwa kuelewa, na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; Bwana hakufanya yote haya.’ ” 28Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao. 29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, au wawili kufukuza elfu kumi, kama si kwamba Mwamba wao amewauza, kama si kwamba Bwana amewaacha?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.