Kumbukumbu 32:29
Deuteronomy 32:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, na kutambua mwisho wao utakuwa aje!
Deuteronomy 32:29 in English
Deuteronomy 32:29 · Berean Standard Bible
If only they were wise, they would understand it; they would comprehend their fate.
Context
27Lakini nilihofia dhihaka za adui,
adui asije akashindwa kuelewa,
na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda;
Bwana hakufanya yote haya.’ ” 28Wao ni taifa lisilo na akili,
hakuna busara ndani yao. 29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili,
na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja,
au wawili kufukuza elfu kumi,
kama si kwamba Mwamba wao amewauza,
kama si kwamba Bwana amewaacha? 31Kwa kuwa mwamba wao si kama Mwamba wetu,
sawasawa na vile adui zetu wanavyokiri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.