Native Bible

Deuteronomy 32:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake,

Deuteronomy 32:10 in English

Deuteronomy 32:10 · Berean Standard Bible

He found him in a desert land, in a barren, howling wilderness; He surrounded him, He instructed him, He guarded him as the apple * of His eye.

Context

8Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, alipogawanya wanadamu wote, aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi. 10Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake, 11kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake. 12Bwana peke yake alimwongoza; hakuwepo mungu mgeni pamoja naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.