Native Bible

Deuteronomy 32:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake.

Deuteronomy 32:11 in English

Deuteronomy 32:11 · Berean Standard Bible

As an eagle stirs up its nest and hovers over its young, He spread His wings to catch them and carried them on His pinions.*

Context

9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi. 10Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake, 11kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake. 12Bwana peke yake alimwongoza; hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, akamlisha kwa mavuno ya mashamba. Akamlea kwa asali toka mwambani, na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.