Native Bible

Deuteronomy 28:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.

Deuteronomy 28:17 in English

Deuteronomy 28:17 · Berean Standard Bible

Your basket and kneading bowl will be cursed.

Context

15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata: 16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani. 17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa. 18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako. 19Utalaaniwa uingiapo na utokapo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.