Kumbukumbu 28:16
Deuteronomy 28:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani.
Deuteronomy 28:16 in English
Deuteronomy 28:16 · Berean Standard Bible
You will be cursed in the city and cursed in the country.
Context
14Usihalifu amri zangu zozote ninazokupa leo, kwa kwenda kuume au kushoto, kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia. 15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata: 16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani. 17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa. 18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.