Native Bible

Deuteronomy 28:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako.

Deuteronomy 28:18 in English

Deuteronomy 28:18 · Berean Standard Bible

The fruit of your womb will be cursed, as well as the produce of your land, the calves of your herds, and the lambs of your flocks.

Context

16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani. 17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa. 18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako. 19Utalaaniwa uingiapo na utokapo. 20Bwana ataleta laana juu yako, fadhaa na kukaripiwa katika kila kitu unachokigusa kwa mkono wako, mpaka uwe umeharibiwa na kuangamizwa ghafula kwa ajili ya maovu uliyoyafanya kwa kumwacha yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.