Native Bible

Deuteronomy 28:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utalaaniwa uingiapo na utokapo.

Deuteronomy 28:19 in English

Deuteronomy 28:19 · Berean Standard Bible

You will be cursed when you come in and cursed when you go out.

Context

17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa. 18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako. 19Utalaaniwa uingiapo na utokapo. 20Bwana ataleta laana juu yako, fadhaa na kukaripiwa katika kila kitu unachokigusa kwa mkono wako, mpaka uwe umeharibiwa na kuangamizwa ghafula kwa ajili ya maovu uliyoyafanya kwa kumwacha yeye. 21Bwana atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.