Native Bible

Deuteronomy 26:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Bwana akatutoa nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, pamoja na utisho mkuu, ishara za miujiza na maajabu.

Deuteronomy 26:8 in English

Deuteronomy 26:8 · Berean Standard Bible

Then the LORD brought us out of Egypt with a mighty hand and an outstretched arm, with great terror, signs, and wonders.

Context

6Lakini Wamisri walituonea na kututaabisha, wakitufanyisha kazi ngumu. 7Kisha tulimlilia Bwana, Mungu wa baba zetu, naye Bwana akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu. 8Kwa hiyo Bwana akatutoa nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, pamoja na utisho mkuu, ishara za miujiza na maajabu. 9Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali; 10nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee Bwana, umenipa.” Weka kapu mbele za Bwana Mungu wako na usujudu mbele zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.