Native Bible

Deuteronomy 26:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali;

Deuteronomy 26:9 in English

Deuteronomy 26:9 · Berean Standard Bible

And He brought us to this place and gave us this land, a land flowing with milk and honey.

Context

7Kisha tulimlilia Bwana, Mungu wa baba zetu, naye Bwana akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu. 8Kwa hiyo Bwana akatutoa nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, pamoja na utisho mkuu, ishara za miujiza na maajabu. 9Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali; 10nami sasa ninaleta malimbuko ya ardhi ambayo wewe, Ee Bwana, umenipa.” Weka kapu mbele za Bwana Mungu wako na usujudu mbele zake. 11Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo Bwana Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.