Matendo 8:5
Acts 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo*
Acts 8:5 in English
Acts 8:5 · Berean Standard Bible
Philip went down to a city in Samaria and proclaimed the Christ to them.
Context
3Lakini kwa habari ya Sauli alikuwa analiharibu kanisa, akiingia nyumba kwa nyumba, akiwaburuta wanawake na wanaume na kuwatupa gerezani. 4Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda. 5Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo* 6Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema. 7Pepo wachafu wakawa wakiwatoka watu wengi huku wakipiga kelele na wengi waliopooza na viwete wakaponywa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.