Matendo 8:3
Acts 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kwa habari ya Sauli alikuwa analiharibu kanisa, akiingia nyumba kwa nyumba, akiwaburuta wanawake na wanaume na kuwatupa gerezani.
Acts 8:3 in English
Acts 8:3 · Berean Standard Bible
But Saul began to destroy the church. Going from house to house, he dragged off men and women and put them in prison.
Context
1Naye Sauli alikuwepo pale, akiridhia kuuawa kwa Stefano. 2(1) Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya kanisa huko Yerusalemu, waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Uyahudi na Samaria. (2) Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana. 3Lakini kwa habari ya Sauli alikuwa analiharibu kanisa, akiingia nyumba kwa nyumba, akiwaburuta wanawake na wanaume na kuwatupa gerezani. 4Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda. 5Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.