Matendo 8:2
Acts 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(1) Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya kanisa huko Yerusalemu, waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Uyahudi na Samaria. (2) Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.
Acts 8:2 in English
Acts 8:2 · Berean Standard Bible
God-fearing men buried Stephen and mourned deeply over him.
Context
1Naye Sauli alikuwepo pale, akiridhia kuuawa kwa Stefano. 2(1) Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya kanisa huko Yerusalemu, waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Uyahudi na Samaria. (2) Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana. 3Lakini kwa habari ya Sauli alikuwa analiharibu kanisa, akiingia nyumba kwa nyumba, akiwaburuta wanawake na wanaume na kuwatupa gerezani. 4Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.