Native Bible

Acts 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pepo wachafu wakawa wakiwatoka watu wengi huku wakipiga kelele na wengi waliopooza na viwete wakaponywa.

Acts 8:7 in English

Acts 8:7 · Berean Standard Bible

With loud shrieks, unclean spirits came out of many who were possessed, and many of the paralyzed and lame were healed.

Context

5Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo* 6Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema. 7Pepo wachafu wakawa wakiwatoka watu wengi huku wakipiga kelele na wengi waliopooza na viwete wakaponywa. 8Hivyo pakawa na furaha kuu katika mji huo. 9Basi mtu mmoja jina lake Simoni alikuwa amefanya uchawi kwa muda mrefu katika mji huo akiwashangaza watu wote wa Samaria. Alijitapa kwamba yeye ni mtu mkuu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.