Native Bible

Acts 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema.

Acts 8:6 in English

Acts 8:6 · Berean Standard Bible

The crowds gave their undivided attention to Philip’s message and to the signs they saw him perform.

Context

4Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda. 5Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo* 6Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema. 7Pepo wachafu wakawa wakiwatoka watu wengi huku wakipiga kelele na wengi waliopooza na viwete wakaponywa. 8Hivyo pakawa na furaha kuu katika mji huo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.