Native Bible

Acts 13:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu.

Acts 13:37 in English

Acts 13:37 · Berean Standard Bible

But the One whom God raised from the dead did not see decay.

Context

35Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’ 36“Kwa maana Daudi akiisha kulitumikia kusudi la Mungu katika kizazi chake, alilala; akazikwa pamoja na baba zake na mwili wake ukaoza. 37Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. 38“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu. 39Kwa kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa sheria ya Mose.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.