Native Bible

Acts 13:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa sheria ya Mose.

Acts 13:39 in English

Acts 13:39 · Berean Standard Bible

Through Him everyone who believes is justified from everything you could not be justified from by the law of Moses.

Context

37Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. 38“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu. 39Kwa kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa sheria ya Mose. 40Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate: 41“ ‘Angalieni, enyi wenye dhihaka, mkastaajabu, mkaangamie, kwa maana nitatenda jambo wakati wenu ambalo hamtasadiki, hata kama mtu akiwaambia.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.