1 Timotheo 4:9
1 Timothy 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,
1 Timothy 4:9 in English
1 Timothy 4:9 · Berean Standard Bible
This is a trustworthy saying, worthy of full acceptance.
Context
7Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa. 8Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao. 9Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa, 10(nasi kwa ajili ya hili tunajitaabisha na kujitahidi), kwamba tumeweka tumaini letu kwa Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, hasa wale waaminio. 11Mambo haya yaagize na kuyafundisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.